KIKOSI CHA YANGA SC KILIPOREJEA DAR ES SALAAM KWA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA KWENDA KIGOMA KUIVAA SIMBA SC FAINALI YA KOMBE LA TFF JUMAPILI


KIUNGO Zawadi Mauya akiteremka kwenye ndege baada ya kikosi cha Yanga kuwasili Dar es Salaam kikitokea Dodoma ambako jana kilitoa sare ya 0-0 na wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Yanga itasafiri tena kwenda Kigoma kwa ajili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya watani wao wa jadi na mabingwa watetezi, Simba SC Jumapili.




Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON