MESSI ASAINI MKATABA WA PUNGOZO KUBAKI BARCELONA

NA huko Hispania taarifa zinasema Muargentina Lionel Messi amesaini mkataba wa miaka mitano kubaki Barcelona – lakini kwa punguzo la asilimia 50 ya malipo.
Mkataba huo mpya aliosaini baada ya ule wa awali kumalizika utamfanya adumu Camp Nou hadi atakapofikisha umri wa miaka 39. 



Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON