REFA AHMED ARAJIGA WA MANYARA KUCHEZESHA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAPILI KIGOMA ATASAIDIWA NA CHACHA WA MWANZA NA MKONO WA TANGA
REFA Ahmed Arajiga wa Mwanza ndiye atakayechezesha fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baina ya watani wa jadi Simba na Yanga Jumapili Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Katika Fainali ya michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Arajiga atasaidiwa na washika vibendera Fedinand Chacha wa Mwanza na Mohamed Mkono wa Tanga.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
