TFF YAMPONGEZA MHESHIMIWA RAIS MAMA SAMIAH KUHUDHURIA PAMBANO LA WATANI WA JADI JANA DAR


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, kwa kujitokeza kwenye mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yanga jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.


Pamoja na hayo, TFF imesikitishwa na maneno ya Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kusema marefa wa jana wasingedhibitiwa wangewapa penalti Simba.





Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON