YANGA SC YASTAAJABISHWA NA TFF KUPANGA REFA ALIYECHEZESHA MECHI MBILI MFULULIZO ZILIZOPITA ZA SIMBA ZA ASFC MWAKA HUU


KLABU ya Yanga imelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutafakari juu ya kumtumia refa Ahmed Arajiga katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho hilo, maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Jumapili mjini Kigoma.
Yanga SC imedai masikitiko yao yanatokana na ukweli kwamba TFF ilimpanga refa huyo huyo kuchezesha mechi za wapinzani wao, Simba za Robo Fainali na Nusu Fainali wakizitoa timu za Kagera Sugar na Azam FC.




Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON