JEZI MPYA ZA YANGA KWA AJILI YA KOMBE LA SHIRIKISHO


WACHEZAJI wa Yanga wakionyesha jezi mpya zenye nembe ya mdhamini mpya, kampuni ya Haier iliyoingia mkataba wenye thamani ya Sh. Bilioni 1.5 na klabu hiyo kuidhamini kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.





Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON