LIVERPOOL YATUPWA NJE KOMBE LA FA ENGLAND
WENYEJI, Brighton & Hove Albion wamesonga Raundi ya Tano ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Liverpool leo Uwanja wa The Amex, Falmer, East Sussex.
Mabao ya Brighton & Hove Albion yamefungwa na Lewis Dunk dakika ya 39 na Kaoru Mitoma dakika ya 90 na ushei, wakati la Liverpool limefungwa na Harvey Elliott dakika ya 30.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
