SIMBA SPORTS CLUB WANA JAMBO LAO LEO KWA MKAPA, YANGA KESHO

WENYE NCHI wako na jambo lao leo Hii kwa Mkapa...Lunyasi ya Robertinho na Triple C inamaswali ya kujibu ili kuifikia Robo fainali #cafcl msimu huu...
WANANCHI chini ya "Prof." NABI na Mayele wao wanatazamia kuendeleza ubabe KWA MKAPA dhidi ya Bamako Hio J'tano...
🚨Mechi kali Wiki Hii:
Jumanne Machi 07, 2023
SIMBA SC vs VIPERS SC
|1:00 Usiku.
🚨Jumatano Machi 08, 2023 
YANGA SC vs REAL BAMAKO 
|1:00 Usiku.
 Zote LIVE Kupitia TV3 ndani ya @startimestz.
🔥..Usikose...
Jiunge leo na @startimestz kwa bei ya Punguzo katika Visimbuzi vyote...
Kisimbuzi cha Antenna Tsh 58000/= tu ama Kisimbuzi cha Dishi Tsh 79000/= tu!
#startimessports #cafclcc #tv3Tanzania

Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON