YANGA IPO TAYARI KUMRUHUSU FEISAL KUONDOKA, ILA…


KLABU ya Yanga imesema kwamba ipo tayari kumruhusu kiungo wake, Feisal Salum Abdallah aondoke, lakini kwanza arejee kazini haraka ili taratibu zifuatwe.




Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON