YANGA YATAMBULISHA MCHEZAJI MPYA WA KWANZA DIRISHA DOGO, KINDA MZENJI


KLABU ya Yanga imetambulisha mchezaji wa kwanza mpya katika dirisha dogo, ambaye ni kiungo Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU ya visiwani Zanzibar.
VIDEO: UTAMBULISHO WA SHEKHAN IBRAHIM KHAMIS YANGA SC




Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON