LIGI YA WANAWAKE TANZANIA BARA NAYO KUENDELEZA MOTO LEO



LIGI kuu ya wanawake Tanzania Bara, maarufu kama Serengeti Lite Women's Premier League inatarajiwa kuedelea leo katika viwanja vitatu tofauti.

Simba Queens watakuwa Uwanja wa Karume wakimenyana na Mlandizi Queens.

Panama FC watakuwa Uwanja wa Samora wakimenyana na Sisterz FC.

Baobab Queens watakuwa Uwanja wa Jamhuri wakimenyana na mapinduzi Queens.

Mechi zote leo zitachezwa saa 10:00 Jioni na kinara wao ni JKT Queens ambaye ni bingwa mtetezi.



from SALEH JEMBE http://bit.ly/2W6gxVB
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON