CHRIS SMALLING 'ALIVYOMPASUA' LIONEL MESSI JANA OLD TRAFFORD
Lionel Messi wa Barcelona akiwa ameumia uso baada ya kugongana na Chris Smalling wa Manchester United kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kipindi cha kwanza usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Barcelona ilishinda 1-0 bao la kujifunga la Luke Shaw dakika ya 12 na timu hizo zitarudiana Aprili 16 Uwanja wa Camp Nou, Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
