RONALDO AIFUNGIA LA KUONGOZA JUVE YATOA SARE 1-1 NA AJAX

Cristiano Ronaldo akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kuifungia bao la kuongoza Juventus dakika ya 45 kabla ya David Neres kuisawazishia Ajax dakika ya 46 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 usiku wa jana kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam na sasa zitarudiana Aprili 16 Uwanja wa Allianz mjini Torino 


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON