Mwanzilishi wa Mtandao wa Wikileaks akamatwa
Mwanzilishi wa Mtandao wa Wikileaks Julian Assange amekamatwa kwenye ubalozi wa Ecuador jijini London, ambapo inaelezwa kwamba alikimbia kutoka ubalozi huo uliompa hifadhi takribani miaka saba iliyopita ili kuepuka kurejeshwa nchini Sweden kukabiliana na kesi inayomkabili ya unyanyasaji wa kijinsia .
Rais wa Ecuador Lenin Moreno amesema amemuondolea hifadhi ya kisiasa Bw.Assange baada ya ukiukwaji wa mara kwa mara ambao amekuwa akiufanya kupitia mtandao huo, Aidha Ecuador imesema ilikiuka sheria za kimataifa kumpa hifadhi ya kisiasa
Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
