Picha: Waziri Makamba azungumza katika mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi


Waziri Nchi,Ofisi yaMakamu wa  Rais, anayeshughulikia  Mazingira na Muungano January Makamba akizungumza katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabia ya nchi uliofanyika leo jijini Dodoma katika ukumbi wa hotel ya Morena






Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON