Diwani wa nne afariki kabla ya kuapishwa

Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan amefariki dunia juzi na kufanya idadi ya madiwani waliofariki dunia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 kufikia wanne.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo https://ift.tt/3ndevPV
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON