ATCL kutoa huduma bora iliyokosekana angani

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupasua anga za kimataifa kwa kurejesha rasmi safari za moja kwa moja kutoka Dar es Salaam kwenda Mumbai kila wiki baada ya mataifa mbali mbali kufungua anga zao.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo https://ift.tt/3ndAzKp
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON