POGBA NAHODHA, UFARANSA YAPIGWA 2-0 NYUMBANI NA FINLAND
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba jana alikuwa Nahodha wa Ufaransa ikichapwa 2-0 na Finland, mabao ya Marcus Forss na Onni Valakari katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Stade de France, Saint-Denis, hicho kikiwa kipigo cha kwanza kwao tangu Juni 2019 walipofungwa na Uturuki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
