UHOLANZI YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA HISPANIA AMSTERDAM


Donny van de Beek (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuisawazishia Uholanzi dakika ya 47 kufuatia Sergio Canales kuanza kuifungia Hispania dakika ya 18 katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam 


Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON