VINCENZO GRIFO APIGA MBILI ITALIA YAICHAPA ESTONIA 4-0 FIRENZE

Vincenzo Grifo (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Italia mabao mawili dakika za 14 na 75 kwa penalti katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Estonia, mabao mengine yakifungwa na Federico  Bernardeschi dakika ya 27 na Riccardo Orsolini kwa penalti pia dakika ya 86 kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Artemio Franchi Jijini Firenze 

Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON