UJERUMANI YAICHAPA JAMHURI YA CZECH 1-0 MECHI YA KIRAFIKI LEIPZIG
Mshambuliaji wa Benfica, Luca Waldschmidt akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Ujerumani bao pekee dakika ya 13 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Red Bull Arena Jijini Leipzig PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
