Waziri Mkuu kujulikana leo

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema leo Alhamisi Novemba 12, 2020 wabunge wataidhinisha uteuzi wa Waziri Mkuu baada ya jina lililoteuliwa na Rais John Magufuli kuwasilishwa bungeni.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo https://ift.tt/32zWt2u
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON