Rais Magufuli amemteua Majaliwa kuwa Waziri Mkuu


Rais Magufuli amemteua tena Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa sasa Wabunge wanasubiriwa kuthibitisha uteuzi wa jina hilo la Waziri Mkuu Mteule ambalo Rais ameliwasilisha Bungeni.

Chanzo MUUNGWANA BLOG
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON