KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imeitia hatiani klabu ya Yanga kwa makosa mbalimbali katika mchezo dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Julai 3, mwaka huu na kuitoza faini jumla ya Sh. Milioni 3.8.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
