NEEMA JANGWANI, AZAM MEDIA LIMITED WASAINI MKATABA WA SH BILIONI 41 NA YANGA SC KWA MIAKA 10 KWA AJILI YA USHIRIKIANO WA MAUDHUI
AFISA Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando na Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, wakisaini mkataba wa mashirikiano ya maudhui wenye thamani ya Shilingi bilioni 41 pamoja na VAT kwa kipindi cha miaka 10.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

