KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 23 CHAENDA ETHIOPIA KUSHIRIKI MICHUANO YA CECAFA U23



KIKOSI cha timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23, kimeondoka leo Dar es Salaam kwenda Ethiopia kwenye michuano ya CECAFA Challenge U23 iliyoanza mwishoni mwa wiki.


Timu hiyo imeondoka baada ya kufanya mazoezi yake ya mwisho leo asubuhi Uwanja wa JMK Park, Dar es Salaam na kitafungua dimba kesho dhidi ya U23 ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).





Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON