MABINGWA wa Tanzania, Simba Queens wamepangwa Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika ya Wanawake pamoja na PVC FC ya Burundi na Lady Doves WFC ya Uganda.
Chanzo: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON