• Home
  • About
  • Contact
  • Advertise

MICHONGO YETU

    • HABAERI
    • MATOKEO
    • MAGAZETI
    • MICHEZO
    • LIGI KUU
    • YANGA
    • SIMBA
    • LOCAL LEAGUES
    • LOVER

    Recent Posts

    MICHEZO

    LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 4-0 NA KUJIWEKA SAWA KILELENI ENGLAND

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 21, 2024
    TIMU ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality m...Read More
    LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 4-0 NA KUJIWEKA SAWA KILELENI ENGLAND LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 4-0 NA KUJIWEKA SAWA KILELENI ENGLAND Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 21, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    MSUVA AFUNGA STARS YADROO NA ZAMBIA WACHACHE

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 21, 2024
    TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Zambia katika mchezo wa Kundi F Fainali za Kombe la Mat...Read More
    MSUVA AFUNGA STARS YADROO NA ZAMBIA WACHACHE MSUVA AFUNGA STARS YADROO NA ZAMBIA WACHACHE Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 21, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    PAMBA FC YAPIGA HONI LIGI KUU, YACHAPA STAND 4-1 NYAMAGANA

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 21, 2024
    WENYEJI, Pamba FC jana waliibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mwana Stand United katika mchezo wa Ligi ya NBC Champonship Uwanja wa N...Read More
    PAMBA FC YAPIGA HONI LIGI KUU, YACHAPA STAND 4-1 NYAMAGANA PAMBA FC YAPIGA HONI LIGI KUU, YACHAPA STAND 4-1 NYAMAGANA Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 21, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    MALI YAITOA MAURITANIA AFCON, BURKINA FASO SARE NA ALGERIA 2-2

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 20, 2024
    TIMU ya taifa ya Angola jana imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu Hatua ya Mtoano Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushin...Read More
    MALI YAITOA MAURITANIA AFCON, BURKINA FASO SARE NA ALGERIA 2-2 MALI YAITOA MAURITANIA AFCON, BURKINA FASO SARE NA ALGERIA 2-2 Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 20, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    ARSENAL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 5-0 EMIRATES

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 20, 2024
    WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi  Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates J...Read More
    ARSENAL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 5-0 EMIRATES ARSENAL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 5-0 EMIRATES Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 20, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    SENEGAL NA CAPE VERDE ZASONGA MBELE AFCON, CAMEROON HALI MBAYA

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 19, 2024
    MABINGWA watetezi, Senegal jana wamefanikiwa kwenda Hatua ya Mtoano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-...Read More
    SENEGAL NA CAPE VERDE ZASONGA MBELE AFCON, CAMEROON HALI MBAYA SENEGAL NA CAPE VERDE ZASONGA MBELE AFCON, CAMEROON HALI MBAYA Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 19, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    TFF YAMSIMAMISHA KAZI AMROUCHE, CAF YAMFUNGIA

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 19, 2024
    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemsimamisha kazi Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mualgeria Adel Amrouche na kumteua mzalendo, Hemed Sulei...Read More
    TFF YAMSIMAMISHA KAZI AMROUCHE, CAF YAMFUNGIA TFF YAMSIMAMISHA KAZI AMROUCHE, CAF YAMFUNGIA Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 19, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    TANZANIA YAJIFUNZA KWA IVORY COAST MAANDALIZI YA AFCON

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 19, 2024
    WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Damas Ndumbaro ametembelea Uwanja wa Laurent Pokou Jijini San Pedro, Ivory Coast ili kuona ambav...Read More
    TANZANIA YAJIFUNZA KWA IVORY COAST MAANDALIZI YA AFCON TANZANIA YAJIFUNZA KWA IVORY COAST MAANDALIZI YA AFCON Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 19, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    SALAH AUMIA, MISRI YADROO NA GHANA, NIGERIA YAIZIMA IVORY COAST

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 18, 2024
    WAKATI Nigeria imeweka hai matumaini ya kwenda Hatua ya Mtoano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka huu zinazoendelea nchini Iv...Read More
    SALAH AUMIA, MISRI YADROO NA GHANA, NIGERIA YAIZIMA IVORY COAST SALAH AUMIA, MISRI YADROO NA GHANA, NIGERIA YAIZIMA IVORY COAST Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 18, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    DRC NA ZAMBIA HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SAN PEDRO

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 17, 2024
    MECHI za kwanza za hatua ya makundi Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zimekamilishwa jana kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ...Read More
    DRC NA ZAMBIA HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SAN PEDRO DRC NA ZAMBIA HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SAN PEDRO Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 17, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    TAIFA STARS PUNGUFU YACHAPWA 3-0 NA MOROCCO AFCON

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 17, 2024
    TANZANIA imeanza vibaya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuchapwa mabao 3-0 na Morocco katika mchezo wa Kundi F usi...Read More
    TAIFA STARS PUNGUFU YACHAPWA 3-0 NA MOROCCO AFCON TAIFA STARS PUNGUFU YACHAPWA 3-0 NA MOROCCO AFCON Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 17, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    YANGA SC YAAJIRI MAAFISA WANNE WAPYA

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 17, 2024
    KLABU ya Yanga imeajiri Maafisa wanne wapya katika Idara tofauti kuziba nafasi za walioondoka na kuongeza nguvu ya utendaji katika maeneo...Read More
    YANGA SC YAAJIRI MAAFISA WANNE WAPYA YANGA SC YAAJIRI MAAFISA WANNE WAPYA Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 17, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    SIMBA SC YASAJILI BEKI WA TANZANIA PRISONS

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 17, 2024
    KLABU ya Simba imemtambulisha beki Edwin Charles Balua (22) kuwa mchezaji wake mpya wa sita dirisha hili dogo kutoka Tanzania Prisons ya ...Read More
    SIMBA SC YASAJILI BEKI WA TANZANIA PRISONS SIMBA SC YASAJILI BEKI WA TANZANIA PRISONS Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 17, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    NYOTA WA YANGA, DIARA NA AZIZ KI WAANZA NA SHANGWE AFCON

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 17, 2024
    NYOTA wa Yanga, kipa Djigui Diarra na kiungo Stephane Aziz Ki jana walianza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinazoendelea nch...Read More
    NYOTA WA YANGA, DIARA NA AZIZ KI WAANZA NA SHANGWE AFCON NYOTA WA YANGA, DIARA NA AZIZ KI WAANZA NA SHANGWE AFCON Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 17, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    SENEGAL YAANZA NA MOTO, CAMEROON NA ALGERIA DROO

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 15, 2024
    MABINGWA watetezi, Senegal jana wameanza vyema kampeni ya kulinda taji lao kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya  Gambia katika mchezo w...Read More
    SENEGAL YAANZA NA MOTO, CAMEROON NA ALGERIA DROO SENEGAL YAANZA NA MOTO, CAMEROON NA ALGERIA DROO Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 15, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    KONKONI AJIUNGA NA TIMU YA CYPRUS KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 15, 2024
    KLABU ya Yanga imemtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Mghana, Hafiz Konkoni kwenda Dogan Tûrk Birligi ya Cyprus hadi mwisho wa msimu. Cha...Read More
    KONKONI AJIUNGA NA TIMU YA CYPRUS KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU KONKONI AJIUNGA NA TIMU YA CYPRUS KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 15, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    SIMBA SC YASHUSHA MUIVORY COAST KINARA WA MABAO ZAMBIA

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 15, 2024
    KLABU ya Simba imemsajili mshambuliaji Muivory Coast, Freddy Michael Kouablan (25) kutoka Green Eagles ya Zambia ambako alikuwa anaongoza...Read More
    SIMBA SC YASHUSHA MUIVORY COAST KINARA WA MABAO ZAMBIA SIMBA SC YASHUSHA MUIVORY COAST KINARA WA MABAO ZAMBIA Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 15, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    YANGA SC YAACHANA NA WINGA 'MTAALAMU' JESUS MOLOKO

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 15, 2024
    KLABU ya Yanga imeachana na winga, Jesus Ducapel Moloko baada ya misimu miwili na nusu tangu ajiunge nayo Agosti mwaka 2021 akitokea AS V...Read More
    YANGA SC YAACHANA NA WINGA 'MTAALAMU' JESUS MOLOKO YANGA SC YAACHANA NA WINGA 'MTAALAMU' JESUS MOLOKO Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 15, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    MABINTI 25 WAITWA SERENGETI GIRLS YA KUIVAA ZAMBIA KOMBE LA DUNIA

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 15, 2024
    KOCHA Bakari Nyundo Shime ameteua wachezaji 25 kuunda timu ya taifa ya wasichana kitakachoingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Zambi...Read More
    MABINTI 25 WAITWA SERENGETI GIRLS YA KUIVAA ZAMBIA KOMBE LA DUNIA MABINTI 25 WAITWA SERENGETI GIRLS YA KUIVAA ZAMBIA KOMBE LA DUNIA Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 15, 2024 Rating: 5
    MICHEZO

    CAPE VERDE YAIDUWAZA GHANA, NIGERIA NA MISRI ZASAWAZISHA KUPATA SARE

    by MKALIMANGI BLOGJanuary 15, 2024
      BAO la dakika ya 90 na ushei la winga wa Ankaragücü ya Uturuki, Garry Mendes Rodrigues liliiwezesha Cape Verde kuibuka na ushindi wa 2-1 ...Read More
    CAPE VERDE YAIDUWAZA GHANA, NIGERIA NA MISRI ZASAWAZISHA KUPATA SARE CAPE VERDE YAIDUWAZA GHANA, NIGERIA NA MISRI ZASAWAZISHA KUPATA SARE Reviewed by MKALIMANGI BLOG on January 15, 2024 Rating: 5
    Older Posts Home
    Subscribe to: Comments ( Atom )
    SOKA LETU

    Popular

    Copyright © MICHONGO YETU