Magufuli kuzindua Bunge Novemba 12

Rais wa Tanzania,  John Magufuli atalihutubia Bunge la 12 Ijumaa Novemba 13, 2020 huku wabunge ambao wapo nje ya Dodoma wakitakiwa kurejea jijini humo.

from Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwanzo https://ift.tt/3kkS1ef
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON